| Nyaraka | Maelezo |
|---|---|
| 1. | Mwongozo wa Kilimo cha Mahindi. Umeandaliwa na Zabron M. Msengi na Kheri M. Kitenge. Unazungumzia uzalishaji wa Mahindi Tanzania ukanda wa chini na kati. Kimepatikana kutoka: TARI |
| 2. | Uzalishaji Bora wa Mahindi Kanda ya Mashariki (Mikoa ya Tanga, Pwani, Dar es salaam na Morogoro) Kimeandikwa na: George M. Iranga, Salum J. Mbegu, Adrian B.C Mbiza, Kheri Kitenge, na Amos Chilagane. Kimechukuliwa kutoka: TARI |
| 3 | 2 |
| 4 | 2 |
| 5 | 2 |

