Mdau |
Maelezo |
Yara |
Ni kampuni inayojihusisha na kutengeneza na kusambaza mbolea. Pia wanahusika na kutoa ushauri kwenye kilimo. Anwani ya tovuti yao ni https://www.yara.co.tz. Wana wawakilishi mikoa mbalimbali nchini. Namba za mawasiliano yao zipo kwenye tovuti yao. |
SeedCo |
Ni Kampuni inayotengeneza, kutangaza, kusambaza na kuuza mbegu za mahindi (na mazao mengine kama karanga, ngano, na mtama) zilizothibitishwa ubora wake. Bonyeza hapa kufungua tovuti yao. Anwani ya tovuti yao ni: https://www.seedcogroup.com/about-us/overview. Wana matawi mengi nchi nzima. |
Pannar |
Ni kampuni kubwa ya mbegu. Husambaza mbegu za mahindi, mtama, alizeti na nyinginezo. Husambaza mbegu za aina mbalimbali kama vile zinazovumilia magonjwa mbalimbali na nk. Tovuti yao ni https://www.pannar.com . |
4 |
2 |
5 |
2 |
1 |
vya 1 |
2 |
vya 2 |