Mwanzo Kuandaa Shamba Mbegu & Kupanda Kutunza Shamba Kuvuna & Kuhifadhi Maswali | Majadiliano Mawasiliano & Ushauri Uza na Kununua

Utangulizi

Karibu kwenye tovuti itakayokusaidia kujifunza na kupata habari mbalimbali za kilimo cha zao la mahindi.

Dhamira Yetu

Kufikisha maarifa na ujuzi sahihi wa kuendesha kilimo bora cha zao la mahindi kwa njia ya tovuti.

Dira Yetu

Kuona kila mkulima mdogomdogo mwenye simu janja anapata maarifa na ujuzi wa kutosha kuendesha kilimo bora cha zao la mahindi.

Tovuti hii imegawanyika katika maeneo makuu 4 (manne) ambayo ni; jinsi ya kuandaa shamba pamoja na kujua masuala ya udongo, mbegu na kupanda, matunzo ya shamba na kuvuna na kuhifadhi mahindi. Pamoja na maelekezo kwa njia ya maandishi pia tumewaandalia picha/ michoro, mafunzo kwa njia ya kusikia (sauti), na video. Unaweza pia kuangalia pembejeo zilipo pembejeo jirani.

Kama bado hujajisajili, jisajili hapa. Na ingia hapa. Huhitaji kujisajili na kuingia ili uweze kuona na kusoma kilichomo. Kujisajili na kuingia kunahitajika ili uweze kuuliza, kujibu na kushiriki katika majadiliano.

Uliza hapa au hapa. Jadiliana au toa maoni hapa au hapa. Pia angalia maswali yaliyowahi kuulizwa hapa na hapa.

Karibuni wote!