Mwanzo Kuandaa Shamba Mbegu & Kupanda Kutunza Shamba Kuvuna & Kuhifadhi Maswali | Majadiliano Mawasiliano & Ushauri Uza na Kununua

Mbegu na Kupanda

Sehemu hii tutazungumzia; madaraja ya mbegu na faida za matumizi ya mbegu bora, kuchagua mbegu bora, kuangalia uotaji wa mbegu, muda wa kupanda, kina cha mashimo, na jinsi ya kupanda.

Muda wa Kupanda

Kwasababu ya kubalikabadilika kwa vipindi vya mvua kunyesha inashauriwa kupanda mahindi kipindi wakati udongo na kiwango cha joto vinapokuwa vinafaa na mvua zinapokuwa zimeanza. Ukichelewa kupanda inaweza sababisha magonjwa na wadudu kushambulia mahindi. Kwa kilimo cha umwagiliaji suala la muda wa kupanda unaweza usizingatie.