Mwanzo Kuandaa Shamba Mbegu & Kupanda Kutunza Shamba Kuvuna & Kuhifadhi Uza na Kununua

Kuvuna na Kuhifadhi

Sehemu hii tutazungumzia; Kuvuna Mahindi Yaliyokauka, Maandalizi ya Kuvuna, Njia za Kuvuna, Kuhifadhi Mahindi, Teknolojia za kuhifadhi Mahindi, Faida za njia za Kisasa kuhifadhi Mahindi, Sifa za Chumba cha kuhifadhi Mahindi, Usafi wa Jumla katika Kuhifadhi, Wadudu katika kuhifadhi, Sumu ya Mycotoxins, na Njia Zingine za Kudhibiti Fangasi.

Faida za njia za Kisasa kuhifadhi Mahindi

Kuna faida nyingi za kutumia njia za kisasa katika kuhifadhi mahindi. Baadhi ya faida hizo ni;
  • Huondoa utumiaji wa kemikali kudhibiti wadudu wanao haribu mahindi
  • Mahindi yanaweza kuhifadhiwa salama kwa zaidi ya miezi 12
  • Huhifadhi mbegu bila kuzifanya ziharibike
  • Ni rahisi kutumia
  • Wakulima wadogowadogo wanaweza kumudu gharama zake