Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: Bacteria: Erwinia species | |
Dalili: 1. Husababisha kuoza kwa pingili moja au zaidi juu ya udongo. Bua huwa jembamba, laini, la kahawia na kujaa maji na tishu zilizooza huwa na harufu nzito 2. mabua kikawaida hupinda na kudondoka, lakini mmea unaweza kubaki wa kijani kwa wiki kadhaa 3. Majani hufa mapema na majani yaliyoathirika yanaweza kuvutwa kiurahisi |
|
Suluhisho/ Kutibu: 1. Tumia mbegu zenye kutoa mahindi yenye mabua imara 2. Mabaki ya majani na mimea mingine shambani ni muhimu iwekwe shambani kipindi sahihi 3. Hakikisha virutubisho mbalimbali shambani kwako viko katika vipimo sawia |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.