Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: | |
Dalili: 1. Hujidhihirisha kwenye miche / mazao machanga kwa majani ya juu kuwa na rangi ya njano 2. Halafu, rangi ya njano mpaka nyeupe hutokea kwenye mistari, na majani ya zamani hubadilika na kuwa na wekundu wa zambarau pembeni na kwenye ncha |
|
Kumbuka: 1. Inatokea kwenye asidi nyingi, udongo wa kichanga kingi kwenye maeneo ya mvua za kati na mvua nyingi, Potassium nyingi, na kwenye udongo ulioongezewa chokaa ambayo ilikuwa na Magnesium kidogo 2. Pulizia kemikali za kwenye majani za Magnesium Sulphate |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.