Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: Fangasi: Diplodia maydis | |
Dalili: 1. Majani/ maganda ya nje ya mhindi ya mmea ulioathiriwa huonyesha kupoteza rangi au kuwa na rangi ya majani 2. Sehemu yote inayoshikiza mhindi (kikonyo) hubadilika rangi na kuwa ya kijivu cha kikahawia, inasinyaa, inakuwa nyepesi sana na hubaki imesimama. Ukungu mweupe hutokea kati ya punje za mahindi 3. maambukizi mara nyingi huanzia kwenye msingi wa mhindi (kwenye kikonyo) na kuenea kuelekea kwenye ncha ya mhindi |
|
Suluhisho/ Kutibu: 1. Panda mbegu za mahindi zenye kuweza kukabiliana na hili tatizo 2. Vuna mapema |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.