Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: | |
Dalili: 1. Manjano na kufa kwa pembe za majani kwa kuanzia kwenye ncha za majani ya chini 2. Mara nyingi mimea kama mahindi hulala/ hudondoka kwasababu ya kuongezeka kwa uwezekano wa mashina kuoza 3. Masikio ya mahindi (mhindi) yanaweza kuwa madogo, makapi kujaa, mepesi na yenye ncha |
|
Suluhisho/ Kutibu: 1. Husababishwa na udongo wa kichanga, udongo ulioshikamana sana, udongo udongo ulioathirika sana na hali ya hewa na kupungua kwa Potassium kwa kiwango kikubwa kutoka kwenye udongo ambako kunaweza kuwa kumesababishwa na kuvuna mazao misimu ya nyuma 2. Tumia mbolea za kuweka kwenya mashina (Nitrogen, Phosphorus, na Potassium) katika kiwango kinachoshauriwa (400kg/ha) |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.