Mwanzo Kuandaa Shamba Mbegu & Kupanda Kutunza Shamba Kuvuna & Kuhifadhi Maswali | Majadiliano Mawasiliano & Ushauri Uza na Kununua

Kutunza Shamba

Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.

Common Smut or Boil Smut

Wadudu: Fangasi: Ustilago maydis
Dalili:
1. Nyongo za mahindi huwa badala ya punje za mahindi
2. Nyongo za mahindi mwanzo zinazungukwa na tishu zinazometameta, zenye umanjano mweupe mpaka weupe wa fedha ambazo hupasuka kutoa uchafu
3. Tatizo ni kubwa kwenye mimea michanga inayokua baada ya kupata matatizo
Suluhisho/ Kutibu:
1. Panda mbegu za mahindi zenye kuweza kukabiliana na hili tatizo
2. Usiumize (mfano kwa kuivunja) mimea wakati unapopalilia au kupulizia madawa
3. Hakikisha shamba lako lina kiwango kinachotakiwa cha virutubisho vilivyo katika vipimo sawia
4. Ondoa na choma nyongo za mahindi kutoka kwenye mimea iliyoathirika kabla haijakomaa na kupasuka

Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.

Matumizi ya Kemikali Shambani

Makundi na faida za kemikali za Kilimo, Matumizi salama ya kemikali za Kilimo, Kuweka kemikali za Kilimo shambani, Kuchanganya kemikali za Kilimo, Kabla ya kupulizia, Wakati wa kupulizia, Baada ya kupulizia, Kutupa makopo ya Kemikali, na Kujisafisha mwenyewe na chombo cha kupulizia.