Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: Fangasi: Helminthosporium turcicum | |
Dalili: 1. Alama ndefu, kama ya mviringo yenye ukijivu na kijani yenye urefu was m 2.5 mpaka sm 15 huanza kwenye majani ya chini ya mmea 2. Maambukizi yakiwa makubwa husababisha mmea kufa mapema na rangi ya kijivu |
|
Suluhisho/ Kutibu: 1. Panda mbegu zenye uwezo wa kukabiliana na hili tatizo 2. Pulizia kemikali za kumaliza fangasi kwenye majani kama Abacus, Amistar, Bravo, Duett and Score kipindi ambapo alama zimefikia theluthi moja (1/3) ya jani kabla mhindi haujaanza kutoa maua (kuchavua) 3. Lima vizuri shamba lako na/ au endesha kilimo mzunguko kupunguza ukubwa wa tatizo |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.