Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: Fangasi: Physoderma maydis | |
Dalili: 1. Alama/ vidonda huanza kwa kuweka vialama vidogo vya njano ambapo baadae hubadilika na kuwa na rangi ya zambarau iliyokolea mpaka nyeusi, umbo linakuwa kama la yai na hizi alama hutokea katikati ya majani 2. Zambarau iliyokolea, alama za mviringo huweza kutokea pia kwenye mabua na sehemu zingine |
|
Suluhisho/ Kutibu: 1. Panda mbegu za mahindi zenye kuweza kukabiliana na hili tatizo 2. Weka dawa za kupambana na fangasi wa kwenye majani kama vile Folicur, Ridomil Gold, Bravo and Score kipindi ambacho alama/ vidonda vya mwanzo vinaanza. |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.