Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: Virus: A double infection of Maize chlorotic mottle virus (MCMV) and Sugarcane mosaic virus (SCMV) or any of the cereal viruses in the Potyviridae group (e.g. Maize dwarf mosaic virus or Wheat streak mosaic virus). | |
Dalili: 1. Majani kuonyesha kupauka, kuwa manjao au manjano na weupe, hasahasa kuanzia kwenye mashina ya majani machanga na kuendelea juu kwenye ncha za majani 2. Majani yanaweza kufa kwenye pembe/ mipaka yake na kuendelea kufa kuelekea katikati na hivyo kusababisha kukauka kwa jani/ majani 3. Mimea iliyoathirika sana hutengeneza mhindi/ gunzi dogo lenye punje chache au bila punje. Mmea wote unaweza kufa haraka kabla haujatoa maua |
|
Suluhisho/ Kutibu: 1. Hakuna mbegu za kukabiliana na hili tatizo mpaka sasa 2. Tumia mbegu zilizowekewa dawa kama Gaucho and Criuser ikifuatiwa na kupulizia kemikali za kuua wadudu kwenye majani kama Dimethoate, Fenvalerate and Imidacloprid, na panda mbegu zilizothibitishwa tu |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.