Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Dalili: 1. Kukua kulikodumaa, dhaifu, mmea mrefu na mwembamba na uliopauka, majani ya njano na kijani kwa mimea michanga 2. Mimea iliyokua inakuwa na rangi ya njano yenye alama ya V katikati kuelekea kwenye ncha za majani ya chini 3. Mabua huwa myembamba na dhaifu 4. Kikonyo cha mhindi hujibana kwenye ncha, punje hung’aa na zinakuwa ngumu |
|
Kumbuka: 1. Hupendelea baridi, umajimaji, au udongo ulio kwenye mafuriko, ukame, udongo wa kichanga wenye virutubisho vya asili vichache, mvua nyingi zenye kuondoa rutuba shambani 2. Weka mbolea ya Ammonium Nitrate katika kiwango kinachoshauriwa (400kg/ha) |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.