Mwanzo Kuandaa Shamba Mbegu & Kupanda Kutunza Shamba Kuvuna & Kuhifadhi Maswali | Majadiliano Mawasiliano & Ushauri Uza na Kununua

Kutunza Shamba

Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.

Phosphorous Deficiency

Wadudu:
Dalili:
1. Majani kuwa ya zambarau au mekundu mapema
2. Ncha za majani kufa na kubadilika kuwa na rangi ya kahawia iliyokolea
3. Masikio ya mhindi kwenye mahindi yaliyoathirika yanakuwa madogo na mara nyingi hupinda na kuwa na mistari ya punje za mahindi ambayo haifanani
Kumbuka:
1. Hutokea pale ambapo kuna baridi, kuna majimaji mengi au kuna ukavu mwingi, kupenya kusiko sawa kwa mizizi ya mahindi kwenye udongo ulioshikamana sana na mizizi kuathiriwa na wadudu, zana za kilimo au kemikali za shamba
2. Tumia mbolea za kuweka kwenya mashina (Nitrogen, Phosphorus, na Potassium) katika kiwango kinachoshauriwa (400kg/ha)

Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.

Matumizi ya Kemikali Shambani

Makundi na faida za kemikali za Kilimo, Matumizi salama ya kemikali za Kilimo, Kuweka kemikali za Kilimo shambani, Kuchanganya kemikali za Kilimo, Kabla ya kupulizia, Wakati wa kupulizia, Baada ya kupulizia, Kutupa makopo ya Kemikali, na Kujisafisha mwenyewe na chombo cha kupulizia.