Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: Fungus: Cercospora zea-maydis | |
Dalili: 1. Alama/ vidonda kwenye majani huwa kahawia iliyopauka au grey 2. Alama huweza kuunganika na kuwa kubwa na kuua majani 3. Huanzia majani ya chini na kuendelea kuelekea juu |
|
Kutibu: 1. Panda mbegu za mahindi zenye uwezo wa kukabiliana na magonjwa 2. Andaa na lima vizuri shamba lako na endesha kilimo mzunguko 3. Pulizia dawa za kukabiliana na fangasi kama Tilt, Amistar, Bravo, Duett and Score |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.