Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: Virusi: Maize Chlorotic mottle virus | |
Dalili: 1. Michirizi myembamba kwenye majani machanga yenye siku 7 mpaka 10 baada ya kuyapatia kinga 2. Michirizi huungana kutengeneza michirizi mingine na kusababisha majani kufa 3. Kukua hafifu na mhindi huzaliwa ukiwa dhaifu |
|
Suluhisho/ Kutibu: 1. Hakuna mbegu iliyothibitishwa kukabiliana na hili tatizo mpaka sasa 2. Tumia mbegu zilizowekewa madawa ya kuua wadudu kama Gaucho and Criuser, ikifuatiwa na kemikali za kuua wadudu kwenye majani kama Dimethoate, Fenvalerate and Imidacloprid , panda mbegu zilizothibitishwa tu |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.