Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: Virusi: Sugarcane Mosaic Virus | |
Dalili: 1. Dalili kuu ni vivuli vya rangi ya kijani, baadhi ya nakundi ya rangi ya kijani kwenye sehemu za kijani iliyopauka au manjano kwenye ncha ya jani 2. Maambukizi yanaweza kuambatana na viwango tofauti vya jani/ majani kuwa mekundu 3. Dalili za majani kuwa na rangi iliyopauka, ya njano au na njano yenye weupe huonekana zaidi kwenye mashina ya majani |
|
Suluhisho/ Kutibu: 1. Tumia kemikali kama Atrazine,Dual, Basagran na tumia mbegu zilizothibitishwa 2. Hakuna kemikali na mbegu zilizothibitishwa kuweza kukabiliana na hili tatizo |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.