Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: Fangasi: Penicillium oxalicum | |
Dalili: 1. Ukungu wa ungaunga wenye rangi ya kijani au bluu kijani kwenye na kati ya punje za mahindi, mara nyingi kwenye ncha ya mhindi 2. Punje za mahindi zilizoathirika mara nyingi hupoteza rangi 3. Hali hii mara nyingi hutokea kwa mahindi yaliyopukuchuliwa na kuhifadhiwa yakiwa na kiwango kikubwa cha unyevunyevu |
|
Suluhisho/ Kutibu: 1. Panda mbegu za mahindi zenye kuweza kukabiliana na hili tatizo 2. Dhibiti minyoo, wadudu wanaotoboa mabua na wengine wanaokula mhindi kwa kutumia kemikali kama Dipterex, Thionex, Karate Zeon and Decis Tab 3. Vuna mapema kiwango cha unyevunyevu kikiruhusu. |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.