Sehemu hii tutazungumzia jinsi ya kutunza shamba la mahindi ambapo tutagusia mambo makuu manne (4) ambayo ni; nyasi na magugu shambani, mbolea, wadudu shambani, pamoja na matumizi ya kemikali shambani. Mambo haya manne yamefafanuliwa zaidi hapa chini.
Wadudu: Virusi: Maize streak virus | |
Dalili: 1. Mistari/ michirizi mirefu iliyo katikakatika inayofanana kwenye uso wote wa jani/ majani 2. Mistari iliyovunjika (isiyokuwa mirefu) ya kimanjano yenye rangi kuonyesha upungufu wa madini ya chuma (Iron) ambayo hupishana na rangi ya kijani iliyokolea ya majani ya kawaida 3. Mhindi huwa na punje chache za mahindi |
|
Suluhisho/ Kutibu: 1. Panda mbegu za mahindi zenye kuweza kukabiliana na hili tatizo 2. Tumia mbegu zenye kemikali za kudhibiti wadudu waharibifu kama Gaucho and Criuserna kufuatiwa na kupulizia kemikali za kuua wadudu kwenye majani kama Dimethoate, Fenvalerate and Imidaclopridna hakikisha unapanda mbegu zilizothibitishwa tu. |
Soma pia: Grey Leaf Spot, Phaesosphaeria Leaf Spot, Northern Corn Leaf Blight, Northern Corn Leaf Spot, Physoderma Brown Spot, Common Rust, Southern Rust, Eyespot, Common Smut or Boil Smut, Bacterial Stalk Rot, Fusarium Stalk Rot, Gibberella Stalk Rot, Aspergillus Ear Rot, Fusarium Ear Rot, Gibberella Ear Rot, Diplodia Ear Rot, Penicillium Ear Rot, Maize Streak Virus, Maize Chlorotic Mottle virus, Sugarcane Mosaic Virus, Maize Lethal Necrosis Disease, Nitrogen Deficiency, Magnesium Deficiency, Phosphorous Deficiency, Potassium Deficiency, Pinking, Multiple Ears on Same Shank Syndrome, na Herbicide Toxicity.